Wakazi waomboleza msiba mara mbili huko Nyeri

Hali ya wasiwasi ilitanda hi leo katika kijiji cha Migiti eneo la Gakindu baada ya msichana moja kuzikwa pamoja na mamake baada ya yeye kuzirai na kufa alipohudhuria mazishi ya mamake aliyeaga dunia wiki illiyopita. Inadaiwa kuwa Pauline Wangari Mwangi aliaga dunia kutokana na mshtuko.

Tags:

nyeri gakindu msiba mara mbili paul wangari mwangi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories