Wakenya 4 waliofungwa maisha Sudan Kusini waachiliwa

Wakenya 4 waliohukumiwa kifungo cha maisha nchini Sudani Kusini mwaka 2015 wanatarajiwa kurejeshwa humu nchini hapo kesho. Hatua hii inajiri kufuatia mazungumzo kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Salva Kiir wa Sudani Kusini.

Tags:

south sudan salva kiiir

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories