Wakenya 4 waliofungwa Sudan Kusini walirejeshwa nchini


Wakenya wanne waliofungwa nchini sudani Kusini kwa madai ya kujaribu kuilaghai serikali ya nchi hiyo, kisha wakaachiliwa huru, hatimaye wameungana na familia zao humu nchini. Hata hivyo serikali ya Kenya imewaonya watu wote wanaotafuta kazi za ughaibuni kujadiliana na wizara ya maswala ya ndani kabla ya kutoka nje ya nchi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author