Wakenya wengi wajitokeza Mombasa, Nairobi na Kisumu kusajiliwa

Siku nne pekee kabla ya shughuli ya usajili wa wapiga kura kufungwa, Wakenya wameonekana kuzidisha ari ya kuwa wapigakura. Baadhi ya kaunti ambazo zilionekana kuvuta mkia hapo awali zimeanza kuzidisha idadi yake kama vile Machakos, Mombasa na Nairobi.

Tags:

IEBC Kajiado Nairobi Usajili wa wapigakura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories