Wakenya wengi wasafiri mashinani kujiandaa kupiga kura

Zikiwa zimesalia siku sita pekee kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, wasafiri katika vituo vya basi wameongezaka maradufu. Runinga ya citizen imebaini kuwa wengi wanakwenda katika maeneo walikojisajili kama wapigakura.

Tags:

IEBC uchaguzi Wakenya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories