Wakfu wa Kalonzo wafungwa

Kinara mwenza wa muungano wa upinzani-nasa kalonzo musyoka amepata pigo, baada ya bodi ya kusimamia shughuli za makundi yasiyo ya kiserikali (ngos) kuzima akaunti za benki za wakfu wa kalonzo musyoka na kuifutilia mbali kamati yake kuu.

Kulingana na mkurugenzi mkuu wa bodi hiyo fazul mahamed, wakfu wa kalonzo umeshindwa kuwajibikia zaidi ya sh. 146m ulizopata kutoka kwa wafadhili wa kigeni, na kukarabati hesabu zake ili kuficha ukweli. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories