Wakimbizi wa machafuko ya baada ya uchaguzi wakita kambi nje ya bunge

Familia ambazo zilitoweka hapa nchini mwaka wa 2007/8 kufuatia machafuko ya uchaguzi, wanasema wataendelea kukita kambi katika majengo ya bunge wakisema kwamba wanataka kushughulikiwa na serikali kwani hawana makao.
Wanadai kwamba serikali inakiuka ahadi ya kuwasadia na kuwa wataendelea kuishi hapo njee ya makao ya bunge. Wakimbizi hao wameishi hapo kwa muda wa wiki mbili sasa.

Tags:

uganda IDPS nje ya bunge Wakimbizi wa machafuko

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories