Wakulima Laikipia wazozana na wafugaji wa Pokot

Utata umezuka kati ya wenyeji wa kaunti ya Laikipia na wafugaji wa jamiii ya Pokot na Samburu . Wenyeji wamelalamikia uharibifu wa mashamba yao unaosababishwa na mifugo wa jamii hizo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories