Wakulima wa mahindi wahofia kushindwa kulima mwaka huu


Huku matayarisho ya msimu wa upanzi yakianza katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa, wakulima wengi huenda wakashindwa kuendeleza kilimo kutokana na masaibu ya mwaka jana. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi hii ni baada ya kupata harasa kutokana na viwavi jeshi na nyingi ya mazao yao kuozea mashambani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NEWSNIGHT | Kalonzo quizzed over claims of support for Uhuru term extension

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author