Wakuu wa KMPDU wasimulia waliyoyaona gerezani


Viongozi saba wa madaktari waliofungwa gerezani kwa siku mbili walisimulia waliyopitia mikononi mwa polisi, wasimamizi wa magereza na wafungwa. Saba hao walifungwa katika magereza tofauti humu nchini kwa sababu ya kukaidi amri ya mahakama ya kusitisha mgomo. na kama anavyotuarifu simon kigamba kwa kauli moja saba hao wanakiri kwamba maisha gerezani si lelemama.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: A section of Jubilee MPs jittery with Kenyatta-Odinga pact

Story By Citizen Reporter
More by this author