Wakuu wa madaktari kulala ndani kwa siku ya pili

Wadau mbalimbali wako kwenye harakati za kutafuta mbinu za kuwatoa gerezani viongozi saba wa chama cha madaktari ili kuweza kutatua mzozo uliopo na kuwawezesha madakrati kurejea kazini.
Waziri wa afya cleopa mailu amesema tayari ameshauriana na mwanasheria mkuu ili kuweza kufanikisha hayo huku kesi hiyo ikitarajiwa katika mahakama ya rufaa hapo kesho.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories