Walimu watishia kugoma


Muungano wa kitaifa wa walimu KNUT umempa waziri wa leba Phylis Kandie makataa ya siku saba kushughulikia suala la kuondolewa kwa nyongeza ya kila mwaka kwenye mishahara ya walimu la sivyo waitishe mgomo wa kitaifa. Hii ni katika hali ambayo Rais Uhuru Kenyatta amepongeza huduma za elimu zinazotolewa na shule za kimisheni akisema zimekuwa na mchango mkubwa katika kuinua hadhi ya elimu nchini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author