Walimu wote kupata nyongeza ya mishahara

Baada ya vuta nikuvute baina ya walimu na muajiri wao TSC , hatimaye kuna nuru shuleni, baada ya walimu kujinyakulia nyongeza ya mishahara.
Mwalimu wa kiwango cha chini almaarufu P1 sasa atapata mshahara wa kati ya 21,000 na 27,000.

Tags:

tsc KNUT Nyongeza ya mishahara walimu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories