Walinzi wa wanasiasa wazusha vurugu kortini


Kulizuka kizaazaa nje ya mahakama ya kilele kufuatia kuzuiliwa kwa mlinzi wa seneta wa Bungoma Moses Wetangula kuingia mahakamani. Maafisa wa polisi kwa siku ya pili mfululizo wameweka na kuimarisha usalama mkubwa nje na karibu ya mahakama hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author