Waliofunga ndoa ya shilingi 100 wafanya harusi kubwa

Huku leo ikisemekana kuwa kuwa  siku ya wapendanao, wapenzi wawili waliozua gumzo kutokana na harusi yao iliyogharimu shilingi mioa moja  kwa anne na wilson siku ya leo daima  itasalia kwenye kumbukumbu kwani hawakujua  kwamba  ndoa yao ya shilingi  mia  moja  itazaa baraka tele.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories