Waliopigania Uhuru wadai kutengwa katika sherehe za Mashujaa

Wakati shamra shamra zilipokuwa zikiendelea  katika uwanja wa michezo wa Kenyatta huko Machakos, baadhi ya wazee wengine wanaodai kupigania uhuru wa taifa hili walijihisi kutengwa na kutopewa hadhi wanayostahili. Hali hiyo ilisababishwa na mpangilio duni wa kuingia katika uwanja huo huku  mwanamke mmoja akipoteza maisha yake baada ya vurugu kuzuka katika lango  kuu.

Tags:

Mashujaa day machakos Kenyatta Stadium mau mau waliopigania uhuru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories