Wamiliki wa matatu jijini Nairobi wanatishia kugoma Jumanne


Kunadhifisha mji wa Nairobi ni mojawepo ya majukumu makubwa ambayo Gavana Mike Sonko amejitikwa. Na ifikapo siku ya Jumatano wiki kesho serikali yake itaanza kutekeleza zoezi la kupunguza msongamano wa magari katikati mwa jiji. Hata hivyo kuna changamoto nyingi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author