Wana Cord Waitisha Uchaguzi Wa Mapema

Wana Cord Waitisha Uchaguzi Wa Mapema

Naibu wa Rais William Ruto amepuuzilia mbali wito wa kiongozi wa CORD Raila Odinga kutaka uchaguzi wa mapema uandaliwe akidai serikali imefeli kutekeleza majukumu yake. Hata hivyo wanaCORD wameendelea kushinikiza serikali ya Jubilee iondolewe mamlakani huku wakipigia debe kura ya maamuzi ya Okoa Kenya. Kendagor Obadiah ana taarifa zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories