Wana-NASA wasisitiza itakuwa vigumu kufanyika marudio ya uchaguzi


Muungano wa Nasa umesema uchaguzi mpya wa urais hautaandaliwa, hadi masharti uliotoa kwa tume ya IEBC yashughulikiwa. Vinara wa Nasa na wabunge wa muungano huo wamesisitiza sharti maafisa wote wa IEBC wanaodaiwa kuhujumu uchaguzi wa urais mwezi jana wapigwe kalamu, na kufunguliwa mashtaka, huku wakidai kiongozi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko amefeli katika majukumu yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Francis Gachuri
More by this author