Wana-NASA watafuta kura Kericho na Narok

Vigogo wa Nasa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka hii leo waliongoza kampeni za muungano huo katika kaunti za Kericho, Narok na Bomet ambapo waliwataka wenyeji kuwapigia kura kwa wingi siku ya uchaguzi. Odinga akiapa kutekeleza manifesto ya Nasa iwapo atachaguliwa.

Tags:

raila odinga narok NASA Bomet Kericho Patrick Ole Ntutu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories