Wanachama wa KNUT wazua zogo wakitaka Sossion ajiuzulu


Vurumai zilizuka katika mkutano wa muungano wa walimu nchini KNUT katika kaunti ya Mombasa pale baadhi ya wanachama kutoka matawi mbalimbali walizusha vurugu wakimtaka katibu mkuu wa muungano huo Wilson Sossion kuondolewa. Wanachama hao wanasema Sossion anaegemea mrengo wa upinzani baada ya kuteuliwa kuwa mbunge na chama cha ODM.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author