Wanafunzi 3 wafa kwenye ajali Kabarnet

Wanafunzi watatu wameaga dunia asubuhi ya leo katika ajali mbaya ya barabarani wakati basi la shule yao walilokuwa wakisafiria lilipohusika katika ajali. Na wanawake mia mbili wanaogua maradhi ya Fistula kufaidi kutokana na mradi wa milioni 12 uliozinduliwa hii leo.

Tags:

Kabarnet school bus accident Lokichar secondary school

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories