Wanafunzi 5 na mlinzi wajeruhiwa katika maandamano
Published on: September 27, 2016 11:22 (EAT)
Wanafunzi 5 na mlinzi mmoja wa chuo kikuu cha Multimedia wanauguza majeraha hospitalini kufuatia maandamano yaliyozua mapigano makali kati ya maafisa wa polisi na wanafunzi walioandamana kushinikiza kukamatwa kwa dereva wa matatu iliyopata ajali jumapili na kusababisha kifo cha mmoja wao.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment