Wanafunzi 5 wauawa kwa kupigwa risasi shuleni Lokichogio

Wanafunzi 5 na mlinzi mmoja wamepoteza maisha katika shambulio kwenye shule ya upili ya AIC huko Lokichogio kaunti ya Turkana. Usiku wa kuamkia leo mwanafunzi mmoja kwa ushirikiano na rafikize walivamia shule hiyo na kuwapiga risasi wanafunzi hao. Wanafunzi wasiopungua 17 wanauguza majeraha ya risasi katika hospitali tofauti.

Tags:

turkana Lokichogio AIC secondary school

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories