Wanafunzi 6 wa shule ya Alliance washtakiwa Kikuyu

Wanafunzi watano wa shule ya upili ya wavulana ya Alliance wanazuiliwa katika kituo cha watoto cha Kiambu baada ya kukanusha mashtaka ya kuwatesa wanafunzi huku mwanafunzi mmoja aliye na umri wa zaidi ya mika 18 akipelekwa korokoroni. Sita hao ambao ni viranja wanadaiwa kuwapa mateso wanafunzi haswa wa kidato cha kwanza na kuwajeruhi vibaya.

Tags:

Alliance boys high school Alliance bullies

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories