Wanafunzi 8 waangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Moi Girls


Wanafunzi wanane wa shule ya upili ya Moi Girls Nairobi wamefariki baada ya moto kuteketeza bweni lao usiku wa kuamkia leo. Moto huo ambao chanzo chake bado hakijabainika uliteketeza vibaya bweni la wanafunzi wa kidato cha kwanza. Shughuli za kubaini walioaga dunia sawa na kuchunguza tukio hilo zinaendelea.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author