Wanafunzi wa kidato cha 1-3 shuleni Moi Girls warudi kwa masomo


Wazazi na mwanafunzi wa kidato cha tatu na cha pili wa shule ya upili ya wasichana ya Moi walifika leo shuleni, baada ya shule hiyo kufungwa wiki mbili zilizopita kufuatia mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 9.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author