Wanafunzi wa kidato cha 1 warejea shuleni Moi Girls


Wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya wasichana ya Moi hapa Nairobi, leo walifika shuleni ili kuendelea na masomo ya muhula wa tatu. Hii ni baada ya bweni lao kuchomeka wiki mbili zilizopita. Moto uliosababisha wanafunzi tisa kupoteza maisha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author