Wanafunzi wa kidato cha 4 Moi Girls warudi shuleni


Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya wasichana ya Moi hapa Nairobi hii leo wamerejea shuleni humo kuendelea na masomo baada ya likizo ya juma moja kufuatia mkasa wa moto wiki jana.
Wanafunzi hao walipata ushauri nasaha, na maombi maalum tayari kwa awamu ya mwisho ya masomo kabla ya mtihani wao wa mwisho wa KCSE.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author