Wanafunzi wa kidato cha 4 shuleni Moi Girls kurudi Ijumaa


Wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya upili ya Moi hapa jijini Nairobi wanatarajiwa kurudi shuleni hapo kesho, kuendelea na matayarisho ya mtihani wa KCSE, siku sita baada ya mkasa wa moto ulisababisha vifo vya wanafunzi tisa. Wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi tatu, watarudi wiki ijayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author