Wanafunzi wafurahia masomo kupitia vipakatalishi

Miezi sita tangu kuanzishwa kwa  mradi wa dijitali kwa wanafunzi wa shule za msingi za serikali hapa nchini, wanafunzi wengi katika maeneo ambayo mradi huo unaendeshwa wanafurahia matunda ya kujua kutumia vipakatilishi. Ila changamoto kadhaa kuibuka mara kwa mara kama anavyoelezea nasteha mohammed.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories