Wanafunzi walazwa hospitalini baada ya kula matunda yenye sumu

Wanafunzi kadhaa wa shule ya msingi ya Mutunguni huko Chuka katika kaunti ya Tharaka Nithi wamelazwa hospitalini baada ya kula matunda yenye sumu hapo jana. Wanafunzi hao wapatao arobaini na saba walijipata hatarini walipokula matunda hayo waliyoyachuna kutoka kwa miti iliyo kandokando mwa shule hiyo.

Tags:

Chuka matunda yenye sumu Mutunguni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories