Wanafunzi warejea shule baada ya likizo

Mahakama ya watoto hapa jijini imewakubali wanafunzi wanane wa shule ya upili ya Sunshine waliokana madai ya kupanga kuteketeza shule yao kurejea shuleni.

Uamuzi huo ukijiri baada ya upande wa mashtaka kusema kuwa bado hawajapokea stakabadhi muhimu kutoka kwa polisina kuwa kesi hiyo haingeweka kung’oa nanga.

Haya yanajiri huku zaidi ya shule 110 zilizoteketezwa muhula uliopita zikikarabati bweni zao kabla ya wanafunzi kurejelea masomo wiki hii

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories