Wanafunzi wawatesa wenzao shuleni Alliance

Waziri wa elimu Daktari Fred  Matiang’i  ametoa  amri kwa shule zote kuchunguzwa dhidi ya madai ya unyanyasaji wa wanafunzi ,amri hio inajiri  baada ya wizara ya elimu kufanya uchunguzi wakitaka kufahamu iwapo kweli kumekuwa na dhuluma dhidi ya wanafunzmi katika shule za humu nchini. Huku ripoti kutoka shule ya upili ya kitaifa ya Alliance ikitamausha taifa. Malamishi haya yanakuja miezi kadhaa baada ya runing ya Citizen kuangazia madai ya ubasha katika shule ya upili ya Maseno.

Tags:

Alliance High School

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories