Wanafunzi wengi hawamalizi kusoma Kwale

Shule ya msingi ya Mwamivi katika eneo la Tiwi kule Matuga kaunti ya Kwale  haijakuwa na mwanafunzi wa kike aliyefaulu kujiunga na shule ya upili katika kipindi cha miaka saba iliyopita. Wengi wao hutungwa mimba au kuolewa kabla ya kumaliza masomo ya darasa la nane. Hata hivyo mwaka huu wasichana watano waliofaulu kukwepa mawimbi ya ndoa za mapema au ujauzito. Mwanahabari wetu Nicky Gitonga ana maelezo zaidi.

Tags:

KWALE Mimba za mapema wasichana kudhulumiwa kimapenzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories