Wanafunzi zaidi ya elfu tisa kufanya mtihani maalum

Wanafunzi elfu kumi ambao hawakufanya mtihani wao wa KCPE mwaka huu watazidi kusubiri. Japo Rais Uhuru Kenyatta ameagiza kuwa wanafunzi ambao kwa asababu moja au nyingine hawakuwez akufanya mtihani wapewe nafasi ya kufanya mtihani maalum, bado mikakati ya kuwawezesha hayo kufanyika inapigwa msasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories