Wanaharakati waitaka serikali kukoma kuwahangaisha

Kaimu waziri wa usalama wa ndani fred matiang’i amesitisha hatua za kinidhamu zilizochukuliwa na bodi ya kuratibu mashirika yasiyokuwa ya kiserikali dhiiidi ya tume ya kutetea haki za kibinadam (KHRC) na shirika la usimamizi wa utawala (AFRICOG).

Hatua hiyo inachukuliwa kutoa nafasi kwa kamati inayoongozwa na katibu katika wizara ya usalama karanja kibicho kuchunguza madai dhiidi ya mashirika hayo kabla ya kuchukuiwa hatua za kisheria.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories