Wanajeshi wapelekwa kutuliza mapigano Baringo

Rais Uhuru Kenyatta ameamuru majeshi ya ulinzi kutuliza hali ya ukosefu wa usalama katika maeneo ya Baringo, Laikipia na Marakwet. Haya yanajiri huku hali ikizidi kuwa ya hofu katika kaunti ya baringo ambako mazishi ya mwanamke mmoja pamoja na mwanawe yalifanyika. Hassan mugmabi alihudhuria mazishi hyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Tags:

KDF baringo Ulinzi Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories