Wanaougua TB nchini wamefikia 138, 000 Utafiti

Serikali ya Kenya pamoja na washikadau kwenye sekta ya afya wametoa takwimu zinazoashiria kuwa idadi ya watu wanaougua maradhi ya kifua kikuu sasa ni elfu mia moja thelathini na nane. Hiyo ni idadi ya juu zaidi kuliko ilivyodhaniwa ya watu elfu themanini na mbili waliokuwa na maradhi ya kifua kikuu katika mwaka wa 2015. Mwandishi wetu Anne Mawathe anaangazia ripoti hii pamoja na changamoto wanazopitia wanaougua maradhi haya ya kifua kikuu.

Tags:

TB wizara ya afya Kifua kikuu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories