Wanariadha watoa msaada kwa wanajamii wasiojiwezi, Elgeyo Marakwet


Baadhi ya wanariadha tajika hapa nchini wameanza kushirikiana na wenzao wa kimataifa kuzisaidia jamii ambazo hazijiwezi na kuzikwamua kutoka lindi la umasikini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By John Wanyama
More by this author