Wanasayansi wapigia debe ulaji wa nyenje au chenene

Mara nyingi unapotajiwa wadudu kuwa kitoweo, huenda ukasonya na kwa wengine hata kutapika. Ila sasa wanasayansi wanasema kuwa baadhi ya wadudu hao wana madini ya protini na wanasisitiza kuwa wadudu hao wanastahili kuliwa na kina mama wajawazito na hata watoto. Mwanahabari wetu Nasteha Mohammed amekutana na wanasayansi hao katika katika chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Jomo Kenyatta wanakofugwa wadudu kwa jina chenene, nyenje au crickets. Je, ulifahamu kuwa unaweza ukapika keki ya chenene?

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories