Wanasiasa 2 wapigwa risasi hadi kufa eneo la Mogotio

Utata umezingira mauaji ya wanasiasa wawili wa kaunti ya Baringo waliopigwa risasi na watu wasiojulikama mkesha wa leo. Mwakilishi wa wodi ya Kibet Cheretei na mwanasiasa Simon Kitambaa walipigwa risasi katika mkahawa mmoja katika eneo la Mogotio katika kile kinachohofiwa kuwa uhasama wa kisiasa.

Tags:

baringo Asman Kamama pepee Kitambaa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories