Wanasiasa 40 wa ODM waingia Jubilee

Chama kipya cha Jubilee kimepata kivuno kutokana na wajumbe wasiopungua 40 kutangaza nia ya kuwania viti mbalimbali kwa tiketi ya Jubilee. Katika uzinduzi rasmi wa chama cha Jubilee, wajumbe hao walionyeshwa kadamnasi mbele ya umati uliohudhuria hafla hiyo. Hata hivyo magavana wawili Issa Timamy wa Lamu na Hussein Dado wa Tana River ambao walikuwa awametajwa kama ambao wamejiunga na Jubilee hawakujitokeza kwenye tamasha hilo.

Tags:

JUBILEE odm wanasiasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories