Wanasiasa wa Jubilee walalamikia uamuzi wa mahakama


Maseneta na wabunge wa Jubilee wakiongozwa na seneta wa Tharaka Nithi Kithure Kindiki wamesema kuwa wametamaushwa na uamuzi wa mahakama ya juu wa kubatilisha ushudhi wa Rais Uhuru Kenyatta ila wakasema kuwa wako tayari kwa uchaguzi mwingine wa urais na kwamba watathibitisha kuwa Rais Uhuru Kenyatta alichaguliwa na wakenya wengi kwani wana imani kuwa atashinda kwa kura nyingi zaidi ya alizopata agosti nane.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author