Wanasiasa waliotimuliwa kutoka ODM wakata rufaa

Wajumbe kumi waliofurushwa na chama cha ODM wamekata rufaa kwa baraza kuu la chama hicho na kuomba kikao maalum cha baraza hilo kifanyike ili wapate fursa ya kujieleza zaidi kuhusiana na tuhuma dhidi yao. Wajumbe hao wanapinga kufurushwa
Na sasa wamemwandikia msajili wa vyama vya kisiasa asiondoe majina hadi kwenye sajili ya wanachama wa ODM hadi rufaa isikizwe na iamuliwe.

Tags:

raila odinga odm isaac mweaura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories