Wanasiasa wanaopotosha vijana watakiona Marwa

Mratibu wa masuala ya usalama katika eneo la pwani Nelson Marwa amewaonya wanasiasa ambao huwaingiza vijana katika makundi ya kuzua ghasia kuwa watatiwa mbaroni. Aidha, Marwa amewahakikishia waislamu na wakazi wote wa pwani kuwa usalama umeimarishwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Tags:

Ramadhan Nelson Marwa ugaidi Siasa pwani

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories