Wanasiasa wazidisha kampeni za kura

Wanasiasa kutoka maeneo mbali mbali wamejitokeza kuwahimiza wakenya ambao hawajajiandikisha kupiga kura ,kufanya hivyo kwani ndio tumaini lao huku wakisisitiza kwamba kura yako ni haki yako ya kimsingi kumchagua kiongozi unayemtaka .

Aidha baadhi walichukuwa fursa kupigia debe chama chao. Huku wengine wakikosoa zoezi zima

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories