Wanawake wanne wananukia ugavana

Japo uchaguzi  mkuu wa mwezi wa nane, kutakuwa na idadi kubwa zaidi ya wanawake waliochaguliwa ukilinganisha na uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2013. Kufikia sasa kuna wanawake wanne ambao wamepata tiketi za kuwania kiti cha ugavana.

Tags:

ANNE WAIGURU CHARITY NGILU Jubilee primaries party primaries

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories