Wanawake wasio na uwezo wa kubeba mimba wazungumza

Sheria ya kuwapa kina mama uhuru wa kubebewa mimba na mwanamke mwingine au hata kufanyiwa matibabu ya kuweza kubeba mimba huenda zikachukua muda mrefu zaidi. Huku kina mama wasio na uwezo wa kushika mimba kuzidi kusononeka.

Saida swaleh alikutana na baadhi ya kina mama hao waliojitokeza kuhusu hali yao na kuandaa taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories