Wanayopitia Walioathirika Na Mkasa Wa Gikomba

Baada ya kuhusika katika mashambulizi waathiriwa wengi husalia katika upweke, wengi wakipoteza kazi, wapendwa wao na hata viungo muhimu vya mwili wao. Hata hivyo Joseph Mbaluka mfanyibiashara katika soko la Gikomba hajafaa moyo hata baada ya eneo lake la biashara kuathirika  na kuachwa kilema na shambulizi hilo kwa miezi minne sasa. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge alipata muda na Mbaluka na hii hapa sehemu ya pili ya athari za ugaidi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories